iqna

IQNA

IQNA – Zaidi ya waumini milioni 122 walitembelea Msikiti Mtakatifu wa Makka ambao unajulkana kama Masjid Al Haram na Msikiti wa Mtume (SAW) mjini Madina amba oni maarufu kama Al Masjid an Nabawi katika kipindi chote cha mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.
Habari ID: 3480473    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/30

IQNA – Msikiti Mkuu wa Makka,  Masjid al Haram, eneo takatifu zaidi katika Uislamu, uliwapokea waumini, wakiwemo Mahujaji wa Hija ndogo ya Umrah,zaidi ya milioni 4 kwa siku moja katika mwezi mtukufu wa Ramadhani. 
Habari ID: 3480456    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/28

IQNA – Zaidi ya milo milioni 17 ya Futari au Iftar imesambazwa katika Msikiti Mkuu wa Makka (Masjid al Haram)  na Msikiti wa Mtume Madina (Al Masjid an Nabawi) katika wiki tatu za kwanza za mwezi mtukufu wa Ramadhani mwaka huu.. 
Habari ID: 3480448    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/27

IQNA – Mamlaka ya Jumla ya Saudia ya Huduma za Mambo ya Msikiti Mkuu wa Makka, Masjidul al Haram na Msikiti wa Mtume, Al Masjid an Nabawi, imetangaza kwamba usajili wa itikafu kwenye maeneo hayo mawili matakatifu utaanza Jumatano, Machi 5.
Habari ID: 3480289    Tarehe ya kuchapishwa : 2025/03/02

TEHRAN (IQNA)-Mamilioni ya Waislamu walitembelea Msikiti wa Mtakatifu wa Makka, Al Masjid al Haram, eneo takatifu zaidi katika Uislamu, wakati wa Mwezi Mtukufu Ramadhani 1444 H- 2023 -baada ya vizuizi vya Covid-19 kuondolewa. Hizi ni picha za angani za Msikiti Mtakatifu.
Habari ID: 3476924    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/28

Makka na Madina
TEHRAN (IQNA) - Mnamo usiku wa 27 wa Mwezi Mtukufu wa Ramadhani, unaoaminika kuwa Usiku wa Qadr, mamilioni ya waumini walijaa Msikiti Mkuu ya Makka (Masjid al Haram) na Msikiti wa Mtume SAW (Masjid An Nabawi) huko Madina.
Habari ID: 3476885    Tarehe ya kuchapishwa : 2023/04/18

Ibada ya Hija
Zaidi ya nakala nusu milioni za Qur'ani Tukufu zimesambazwa katika Msikiti Mtakatifu wa Makka, Al Masjid al Haram na maeneo matakatifu karibu na mji huo, Wizara ya Masuala ya Kiislamu ya Saudi Arabia imetangaza.
Habari ID: 3475471    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/07/07

Ibada ya Hija
TEHRAN (IQNA) – Huku Mahujaji kutoka nchi mbalimbali wakiendelea kuwasili, takriban Misahafu mipya 80,000 imewekwa kwenye rafu za Msikiti Mkuu wa Makkah au Masjid al-Haram.
Habari ID: 3475410    Tarehe ya kuchapishwa : 2022/06/22

TEHRAN (IQNA)- Maeneo maalumu ya swala yametengwa katika Msikiti Mtakatifu wa Makka (Al Masjid Al Haram ) kwa ajili ya walemavu.
Habari ID: 3473673    Tarehe ya kuchapishwa : 2021/02/22

TEHRAN (IQNA) – Wakuu wa Saudia wamesema Msikiti Mtakatifu wa Makka, Al-Masjid Al-Ḥaram, hautafunguliwa wakati wa Swala wa Idul Adha mwaka huu kutokana na hofu ya kuenea ugonjwa wa COVID-19 au corona.
Habari ID: 3472991    Tarehe ya kuchapishwa : 2020/07/23

Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu
TEHRAN (IQNA) –Kiongozi Muadhamu wa Mapinduzi ya Kiislamu Ayatullah Sayyed Ali Khamenei amesisitiza kuwa misikiti miwili mitukufu zaidi katika Uislamu ni ya Waislamu wote duniani.
Habari ID: 3471596    Tarehe ya kuchapishwa : 2018/07/16